Ina wezekana
Member
- Sep 2, 2017
- 72
- 162
Amani kwenu. Kama kuna mtu ana Mawasiliano ya lodge katika kipande hicho anipatie tafadhali. Isiwe zaidi ya 2km kutoka Morogoro road.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panaitwaje mkuu?Misugusugu kama unaenda pale ofiai za Tra, fuata hiyo barabara ya kwenda tra, kidogo tu km 300m, kuna lodge nq inq bar, sio pabaya sana kwa short time
"Strictly no passenger allowed" kimoko cha fasta chap kwa...lala tuu kwenye Fuso
Niliwah lala ruvu darajani.... Asee guest zao chafu sanaaa... Hovyo kbs...Mhh hiyo njia kuna vigest vya kiswahili swahili sijui labda ubahatishe demu wa kulala nae geto kwake mpaka asubuhi au kama mnywaji kesha baa.
Zile ni guest za wamasai na wamang'ati wanaoleta n'gombe mnadani pale ruvuNiliwah lala ruvu darajani.... Asee guest zao chafu sanaaa... Hovyo kbs...
[emoji23][emoji23]I'm not tribalistic lakini sehemu ambayo anakula au kulala njeree siwezi kutia mguu la da iwe ndo the last choice na nisipofanya hivyo sitasurvive.Zile ni guest za wamasai na wamang'ati wanaoleta n'gombe mnadani pale ruvu
Hazijawahi kuwa safi zile guest!! Hukubahatika kuondoka na kifurushi cha kunguni?
Duu aisee iko wapi hiyo?Ndio mkuu. Mdau alinielekeza bahari beach luxury lodge. Ni 170K full board + complimentary massage. Massage yao ilikua na happy ending nikatoka pale mwepesiiiiiiii
Ndio mkuu. Mdau alinielekeza bahari beach luxury lodge. Ni 170K full board + complimentary massage. Massage yao ilikua na happy ending nikatoka pale mwepesiiiiiiii