Lodge gani nzuri kipande cha Misugusugu hadi Mlandizi?

Ngoja waje wazee wa chimboz
 
Misugusugu kama unaenda pale ofiai za Tra, fuata hiyo barabara ya kwenda tra, kidogo tu km 300m, kuna lodge nq inq bar, sio pabaya sana kwa short time
 
Mhh hiyo njia kuna vigest vya kiswahili swahili sijui labda ubahatishe demu wa kulala nae geto kwake mpaka asubuhi au kama mnywaji kesha baa.
 
Mlandizi apo Nililala Lodge moja inaitwa JC lodge ni Clean sana Bei yake 30K
 
kwa mlandizi ni hizi Musoma excutive, chole pia hizi zipo jirani na barabara kubwa. hapo Musoma bei ni 40 na chole nadhani wanaazia na 15.

Ila zipo nyingi ulizia kwa bodaboda watakuonesha tuu.

Sent from my M2006C3LI using JamiiForums mobile app
 
Zile ni guest za wamasai na wamang'ati wanaoleta n'gombe mnadani pale ruvu
Hazijawahi kuwa safi zile guest!! Hukubahatika kuondoka na kifurushi cha kunguni?
[emoji23][emoji23]I'm not tribalistic lakini sehemu ambayo anakula au kulala njeree siwezi kutia mguu la da iwe ndo the last choice na nisipofanya hivyo sitasurvive.
 
Nataka nitoke nje ya jiji niende mile moja au mlandizi kuna bar zilizochangamka kama za town na loge nzuri.
 
Ndio mkuu. Mdau alinielekeza bahari beach luxury lodge. Ni 170K full board + complimentary massage. Massage yao ilikua na happy ending nikatoka pale mwepesiiiiiiii
Duu aisee iko wapi hiyo?
Maana hali ya hewa kwa Dsm leo ni neema
 
Ndio mkuu. Mdau alinielekeza bahari beach luxury lodge. Ni 170K full board + complimentary massage. Massage yao ilikua na happy ending nikatoka pale mwepesiiiiiiii

ipo kipande gani mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…