issawema JF-Expert Member Joined May 30, 2013 Posts 776 Reaction score 643 Nov 1, 2016 #1 wakuu npo mitaa hii ya tabata kwa opereshen maalumu sasa naona ntalala huku kwahyo nilikuwa lodge nzuri inayopatikana maeneo haya Tafadhari
wakuu npo mitaa hii ya tabata kwa opereshen maalumu sasa naona ntalala huku kwahyo nilikuwa lodge nzuri inayopatikana maeneo haya Tafadhari
nkobanks JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 681 Reaction score 401 Nov 1, 2016 #2 Operation ya kulala uchi et...ngoja wakaz wa tabata waje
U ustadhijuma JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 3,021 Reaction score 1,978 Nov 2, 2016 #3 ngoja scorpion aje maana nasikia anakaugomvi na watu wa huko safari hii hatoi macho Bali anatoa dushe na anakupangua masaburi yote hayoo kwa kutumia ule mjambia wake
ngoja scorpion aje maana nasikia anakaugomvi na watu wa huko safari hii hatoi macho Bali anatoa dushe na anakupangua masaburi yote hayoo kwa kutumia ule mjambia wake
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,929 Reaction score 8,327 Nov 2, 2016 #4 Tabata ipi na umejipangaje? i mean budget yako ipoje?