House4Rent LODGE/GUEST house for rent/Inapangishwa (Kimara)

House4Rent LODGE/GUEST house for rent/Inapangishwa (Kimara)

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
Salaam,

Nyumba inapatikana Kimara (corner). Meter 300 kutoka Morogoro road. Inatumika kama nyumba ya kulala wageni.

Ina vyumba 10 (vyote ni master). Iko ndani ya fensi, Huduma zote muhimu zipo (barabara, maji n.k) . Sababu za kupangishwa ni kukosekana kwa usimamiaji.

Rent per month: tzs 1m

Call/SMS 0756 832833


IMG-20190709-WA0093.jpeg
IMG-20190709-WA0082.jpeg
IMG-20190709-WA0091.jpeg
IMG-20190709-WA0094.jpeg
IMG-20190709-WA0102.jpeg
IMG-20190709-WA0097.jpeg
 

Attachments

  • IMG-20190709-WA0095.jpeg
    IMG-20190709-WA0095.jpeg
    68.6 KB · Views: 24
Inaweza kukulipa mtu ikipangishwa kwa laki 5 kwa mwez
Kwa mzoefu anayeifahamu hii biashara
Hawezi claims sana about renting cost.
Kodi ya 1m kwa mwezi ni very reasonable.
Katika hivyo vyumba 10
Chukulia mfano kwa siku vyumba 5 ndio vinapata wateja
5×15000=75,000/
30×75,000=2,250,000/
Ukitoa na expenses+renting cost (mshahara, mtu wa usafi, mlinzi)
Kwa wastani hukosi 800,000/ as profit per month. (N.b if you have good management)
 
hii bado ipo boss?

nimetuma txt kwa no.yako naona kimya
 
Salaam,
Nyumba inapatikana Kimara (corner)
Meter 300 kutoka Morogoro road
Inatumika kama nyumba ya kulala wageni.
Ina vyumba 10 (vyote ni master)
Iko ndani ya fensi
Huduma zote muhimu zipo (barabara, maji n.k)
Sababu za kupangishwa ni kukosekana kwa usimamiaji.
Rent per month: tzs 1m

Call/SMS 0756 832833


View attachment 1151000View attachment 1151001View attachment 1151002View attachment 1151003View attachment 1151005View attachment 1151008
Bado ipo mkuu hii kitu au ulishapata mtu?
 
Back
Top Bottom