House4Rent LODGE/GUEST house for rent/Inapangishwa (Kimara)

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
Salaam,

Nyumba inapatikana Kimara (corner). Meter 300 kutoka Morogoro road. Inatumika kama nyumba ya kulala wageni.

Ina vyumba 10 (vyote ni master). Iko ndani ya fensi, Huduma zote muhimu zipo (barabara, maji n.k) . Sababu za kupangishwa ni kukosekana kwa usimamiaji.

Rent per month: tzs 1m

Call/SMS 0756 832833


 

Attachments

  • IMG-20190709-WA0095.jpeg
    68.6 KB · Views: 24
Inaweza kukulipa mtu ikipangishwa kwa laki 5 kwa mwez
 
Inaweza kukulipa mtu ikipangishwa kwa laki 5 kwa mwez
Kwa mzoefu anayeifahamu hii biashara
Hawezi claims sana about renting cost.
Kodi ya 1m kwa mwezi ni very reasonable.
Katika hivyo vyumba 10
Chukulia mfano kwa siku vyumba 5 ndio vinapata wateja
5×15000=75,000/
30×75,000=2,250,000/
Ukitoa na expenses+renting cost (mshahara, mtu wa usafi, mlinzi)
Kwa wastani hukosi 800,000/ as profit per month. (N.b if you have good management)
 
hii bado ipo boss?

nimetuma txt kwa no.yako naona kimya
 
Bado ipo mkuu hii kitu au ulishapata mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…