Lodge /Guest house natakiwa kukaa saa ngapi kulipia fedha kamili?

Saa 4 asbh ndio mwisho wa huduma za chumba kwny lodge na hotel
 
Nadhan huwa tunajichanganya sehemu! Mimi huwa nikiingia lodge mida mibovu natia msisitizo kwenye tarehe ya kuingia na tarehe ya kutoka , huwa nakazia hapo
Kama nimeingia tarehe tisa natakiwa nitoke tarehe kumi thats all,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu...

Hii Ipo maneno ya mwenge TRA, yani katikati ya sinza na mwenge... hii lodge inasifika sana kuhifadhi wake za watu na wauza nyuchi...


Cc: mahondaw
TRA mbali sana na hapo mkuu,labda ungesema karibu na Bodi ya Mikopo,Kanisa la EAGT la Mchungaji Ngoma,Bar za Sunguchini,Igongwe zaman au Kwa Afande,au kwa wanaofahamu maskani ya enzi hizo ya Daz Nundaz,nyumbani kwa Kipozi (Unique sisters)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vile viraka vya barabara waliyokuwa wanaviziba pale ipo ipo walishamaliza?
 
mi nikiingia lazima niandike tarehe husika ndo naanza kuhesabia hapo,habari za naingia saa nane usiku halafu naandikiwa sehemu ya tarehe ya jana sikubali bora nirushe ngumi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah sina uziefu sana na gest au lodge ila nimekumbuka kitu.

Kuna gesti ipo Mbagala nimefika nauliza kulala sh ngapi najibiwa kulala kunaanzia saa 12 hii mida uliyokuja ni ya short time, halafu mi nimefika pale saa 6 na mchuchu upo njiani ndiyo unakuja unataka tutoboe hadi mida ya saa 1.

Wanaume sisi daah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…