Vyumba vipo vya bei tofauti tofauti ? Mana hnimecheki naona price yao inafika mpk $39 hivi...Nefalanda hotel friends kona manzese, ni elfu ishirini na tano chumba ila unapata royal treatment
Mmmmh..!shida ukishakojoa cha kwanza, ndiyo unaona 40k imeenda na maji