Rajabu Msechu
Member
- Apr 13, 2016
- 35
- 18
Bikuhabari memba wenzangu wa JF.
Lodge mpya bado haijaanza kufanya kazi, ina jumla ya vyumba 12, vyumba 10 self, viwili vilivyobakia ni store na mapokezi.
IPO Mbagala Mzinga, bei inaanzia milioni 60 mazungumzo yapo.
Imekwishwa fanyiwa wiring ya umeme na mabomba, umbali wa mita 50 kutoka barabarani.
Hati ya makazi ipo
Wasiliana : 0717 36 05 05.
Hali yangu kwa ujumla kiuchumi sio nzuri.
Wote mnakaribishwa