Rajabu Msechu Member Joined Apr 13, 2016 Posts 35 Reaction score 18 Aug 6, 2016 #1 Bikuhabari memba wenzangu wa JF. Lodge mpya bado haijaanza kufanya kazi, ina jumla ya vyumba 12, vyumba 10 self, viwili vilivyobakia ni store na mapokezi. IPO Mbagala Mzinga, bei inaanzia milioni 60 mazungumzo yapo. Imekwishwa fanyiwa wiring ya umeme na mabomba, umbali wa mita 50 kutoka barabarani. Hati ya makazi ipo Wasiliana : 0717 36 05 05. Hali yangu kwa ujumla kiuchumi sio nzuri. Wote mnakaribishwa Attachments 1470485117103.jpg 176.1 KB · Views: 64
Bikuhabari memba wenzangu wa JF. Lodge mpya bado haijaanza kufanya kazi, ina jumla ya vyumba 12, vyumba 10 self, viwili vilivyobakia ni store na mapokezi. IPO Mbagala Mzinga, bei inaanzia milioni 60 mazungumzo yapo. Imekwishwa fanyiwa wiring ya umeme na mabomba, umbali wa mita 50 kutoka barabarani. Hati ya makazi ipo Wasiliana : 0717 36 05 05. Hali yangu kwa ujumla kiuchumi sio nzuri. Wote mnakaribishwa
B Baba yenu JF-Expert Member Joined Jun 17, 2016 Posts 1,053 Reaction score 1,418 Aug 6, 2016 #2 Magufuli utauwa watu jaman!!!! Uchumi umekaba tutauza mpaka chupi
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Aug 6, 2016 #3 Hiyo inafaa kwa makazi,ama kupangisha,ila kwa lodge haikubali. Anyway,bei nzuri sana,
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Aug 6, 2016 #4 Hongera sana sana nitamuunganisha na mtu
Rajabu Msechu Member Joined Apr 13, 2016 Posts 35 Reaction score 18 Aug 6, 2016 Thread starter #5 Nitashukuru sana kaka mwanaume mwenzenu nimetingwa Elungata
Rajabu Msechu Member Joined Apr 13, 2016 Posts 35 Reaction score 18 Aug 6, 2016 Thread starter #6 Elungata said: Hiyo inafaa kwa makazi,ama kupangisha,ila kwa lodge haikubali. Anyway,bei nzuri sana, Click to expand... Karibu sana mkuu
Elungata said: Hiyo inafaa kwa makazi,ama kupangisha,ila kwa lodge haikubali. Anyway,bei nzuri sana, Click to expand... Karibu sana mkuu
kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,175 Aug 6, 2016 #7 Mbona gafla hivi wajameni???