B Beast mode Member Joined May 4, 2018 Posts 7 Reaction score 11 Apr 30, 2021 #1 Wakuu habari zenu? Lodge ipi mzuri, Bunju au maeneo ya karibu.
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,001 Reaction score 23,449 Apr 30, 2021 #2 Beast mode said: Wakuu habari zenu? Lodge ipi mzuri, Bunju au maeneo ya karibu. Click to expand... umetoka kuuliza kuhusu Toyota rumnion kula mafuta,sasa hivi tena unataka kujua lodge ipi nzuri bunju,mkuuu ipo shida mahali kwani unataka? mbona maswali yako ni mengi mengi yanafatana fatana halafu ni yakuuliza tu huko huko kitaani na ukapata majibu?
Beast mode said: Wakuu habari zenu? Lodge ipi mzuri, Bunju au maeneo ya karibu. Click to expand... umetoka kuuliza kuhusu Toyota rumnion kula mafuta,sasa hivi tena unataka kujua lodge ipi nzuri bunju,mkuuu ipo shida mahali kwani unataka? mbona maswali yako ni mengi mengi yanafatana fatana halafu ni yakuuliza tu huko huko kitaani na ukapata majibu?
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,132 Reaction score 31,149 Apr 30, 2021 #3 Kwa sasa hivi Bunju huwezi kupata hizo nafasi. Wahasibu wana jambo lao.
B Beast mode Member Joined May 4, 2018 Posts 7 Reaction score 11 Apr 30, 2021 Thread starter #4 Asante kwa majibu mazuri
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Apr 30, 2021 #5 Sheikh, unataka kumbunjua mtu!?
B Beast mode Member Joined May 4, 2018 Posts 7 Reaction score 11 Apr 30, 2021 Thread starter #6 Malazi tu, natoka mkoani.