Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Na kama mdau wa mbususu atapata mpaka za Kichina.KAICHEKI VALENTINO HOTEL IKO MTAA WA AGGREY PALE NADHANI WATAKUWA AFFORDABLE
Hahahahaa huko mie sipo mkuu๐Na kama mdau wa mbususu atapata mpaka za Kichina.
Zipo za kichina mzee, siku ukitaka kubadili ladha pitia hapo๐Hahahahaa huko mie sipo mkuu๐
Poa mkuu bei yao si ya kawaida au ???Zipo za kichina mzee, siku ukitaka kubadili ladha pitia hapo๐
Mkuu hiyo ni hotel Sasa nitaiweza kweli kwa hiyo bajeti yangu..?KAICHEKI VALENTINO HOTEL IKO MTAA WA AGGREY PALE NADHANI WATAKUWA AFFORDABL..
Nakuona mzee wa Fetty kishuzi.Na kama mdau wa mbususu atapata mpaka za Kichina.
Sh ngapi hii..?Tafuta hotel inaitwa butterfly iko poa Sana....sema mitaa ya kariakoo kuitaja ndio jau Ila iko karibu na China plaza
๐๐๐Siku hizi imekuwa tabu kumfikia Fetty Kishuzi, mpaka vpn nimeamua kwenda kwa Ling Chin vimacho, haina vpn hiyo๐Nakuona mzee wa Fetty kishuzi.
Bei ya kizawa, unajipatia mla chura wako fressh kabisa.Poa mkuu bei yao si ya kawaida au ???
Ila bro unazingua sana๐๐๐๐๐๐Siku hizi imekuwa tabu kumfikia Fetty Kishuzi, mpaka vpn nimeamua kwenda kwa Ling Chin vimacho, haina vpn hiyo๐
USHAURI:Miji ya Tanzania kwa sehemu kubwa inafanana.Ukifika kituoni ushukiapo lazima utakutana na watu wema wa kukuelekeza ukitakacho.Mimi kwa hisia zangu,kuanza kuomba maelekezo tu kwa watu usiowajua au kuwaona kuna hatari zaidi kuliko ukiwa eneo husika.Usinielewe vibaya.Taarifa zako ziwe fiche muda wote.Dunia hii.Wakuu, weekend hii naingia Mjini(Kariakoo).. nitakuwepo kama siku tatu hivi.. nahitaji Lodge Affordable inayo-range bei ya 20,000 - 30,000(Isizidi hapa)
Nahitaji connection zenu wakuu ili nisihangaike maana natarajia kufika jioni sana na nitakuwa nimechoka mno.
Asante Mkuu kwa ushauri.. uko vizuri sanaUSHAURI:Miji ya Tanzania kwa sehemu kubwa inafanana.Ukifika kituoni ushukiapo lazima utakutana na watu wema wa kukuelekeza ukitakacho.Mimi kwa hisia zangu,kuanza kuomba maelekezo tu kwa watu usiowajua au kuwaona kuna hatari zaidi kuliko ukiwa eneo husika.Usinielewe vibaya.Taarifa zako ziwe fiche muda wote.Dunia hii.