Lody Music huu wimbo wako Sweet love nilijua ni Mnaijeria

Lody Music huu wimbo wako Sweet love nilijua ni Mnaijeria

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Vipaji vipo hapa Tanzania ila kwa sababu ya ubinafsi wa brand za kipuuzi ndio tatizo kama Simba na Yanga.

Huyu dogo leo naangalia tv nikaona niangalie chaneli za mziki namsikia huyo dogo yani unaweza kusema sio wa bongo na viingirishi vyetu vya zezeze is ukrain oil.

Dogo unajua mziki sana na steji yako inaonesha ukikomaa kiingereza utawashinda.
 
Back
Top Bottom