Siku kama yeo mwaka 2017 niliingia rasimi katika mtandao wa JF imetimia miaka Sita kama mwana JF natoa shukrani kwa wana Jf wenzangu kwa michango yenu.
Nimebadili sana maisha yangu mtazamo wangu ndani ya hii miaka pongezi zangu kwa
Moderator @maxemelo