Logic ya kuzuia kupiga picha na video mahakamni

Logic ya kuzuia kupiga picha na video mahakamni

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,440
Wataalam naomba kuelimishwa kwa nn mahakamani hawaruhusu kupiga picha.
 
kumpa uhuru zaidi mtuhumiwa au victim, kupunguza hofu na panic
 
Ngoja tukabukue ndugu?

Powa kamanda sio tu logic inawezekana nimekosea kujieleza. Teh Teh teh da nyie wanasheria mna mambomnachambua neno kwa neno lakini nadhani umepata mantiki nzima ya ya nn napenda kuelimishwa . Hilo neno logic lisikubane

Michango yako ya kisheria naikubali


Muwaha said:
kumpa uhuru zaidi mtuhumiwa au victim, kupunguza hofu na panic

  • Unamaanisha nini ina maana hata kabala kesi haijaanza ukipiga picha mtuhumiwa anakosa uhuru ?
  • Na kwa nn umesema uhuru wa mtumumiwa bila kutaja uhuru wa mshtki au muendesha kesi
 
Back
Top Bottom