Zumi Designers
Member
- Apr 29, 2018
- 7
- 8
Mkuu hapo hakuna logo wala letterhead wala business card ambayo imecopiwa sehemu! Na kuhusu hayo maandishi ya LOREM IPSUM hayana effect yeyote kwasababu ni kuonesha tu letterhead ktk uhasilia baada ya kuwa printed inaonekana vipi, so badala ya LOREM IPSUM ningeweza kuweka hata mashairi ya Diamond, Ali Kiba, Jay Z au maneno yeyote yale!! Na ndio maana tunapost samples za kazi zetu, ili mteja ajiridhishe mwenyewe na kama haitoshi Huwa tunafanya malipo baada ya Mteja kuridhika na kazi yake.Kumbe unatumia ‘templates’? Sasa nani asiyeweza ku-customise?
Kwa hizo ‘letterheads’ zako kuwa na maandishi LOREM IPSUM... ni dhahiri kuwa una-download VECTORS na MOCKUPS na kubadili mwonekano kidogo sana, huo si ubunifu.
Kwa namna hiyo nitaamini vipi kama nembo (logo) zako siyo PLAGIARIZED?
Where are those logos ili tuzithaminishe?Kumbe unatumia ‘templates’? Sasa nani asiyeweza ku-customise?