Loh! Hivi kijijini nako kuna ushamba?

Loh! Hivi kijijini nako kuna ushamba?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Imezoeleka kuwa kama mtu katoka shamba kuja town na akaanza kushangaa shangaa jiji huitwa mshamba...Vipi kuhusu wa mjini akienda kijijini na kuanza kushangaa mashamba ya mpunga, baskeli za mbao n.k

ATAITWA NANI??
 
watamuona mjanja mana watamshtukia fasta kua katokea town
 
Swali zuri sana, huyo ni mtalii na sio mshamba.
 
ataitwa Vasco Dagama.🙂🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom