Mkuu Ungekuwaa na Vitz RS namba D ningekupa hii IST yangu namba D safi kabisaa uniongezee na kama 2m hvWakuu natumia kitoyota passo ambacho nilinunua kwa mtu, ila sasa nataman kubadili baada ya kufanikisha kuuza hili la sasa,
Natamani lutumia gari ndogo vilevile aina ya Toyota IST,
TOYITA IST sijui kwann naipenda, jaman kama zile 2005 model nazizimia sana.
Nahitaji hata kwa mtu, maana hii gari dukan/mpya sintaiweza. Asateni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwelekeo how bigKweli unabadilisha gari, sbbu una haraka mpka maandishi yako nayo yamebadilisha mwelekeo, kila la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza, nipo kwenye proces kumuuzia police FulaniMkuu Ungekuwaa na Vitz RS namba D ningekupa hii IST yangu namba D safi kabisaa uniongezee na kama 2m hv
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatoka passo unahamia kwenye ist[emoji28][emoji28][emoji28]
HahahahaTujifunze kupongeza badala ya kulaum,kwako passo inaweza kuwa gar ya ovyo kwa sababu unamilki gar kubwa but je ulianzia wap?
Mimi nakumbuka nilianzia swift new model and i was proud ! Badae nikahamia ist mpk huku nilipo but wote tumetoka huko kwenyw ist au passo achen kumdhihaki
Na utashangaa mnaomdhihaki hata gari tu hamna
Mhh!!!