hujapotea mkuu hata wandishi nao hawaelewi wanajiandikia tuuuuu!Nadhani nimepotea..,:angry:
Sijui kilingala wala kizulu,ila kile nilichokiandika ninakielewa maana yake,siko tayari kuandika nisichokijua,ikiwa matusi je!hujapotea mkuu hata wandishi nao hawaelewi wanajiandikia tuuuuu!