....Tuache kufuata maneno ya kina "doctor Ndodi" kama uko serious unataka kupanga uzazi wataalam wanaelekeza njia zimegawanywa njia 2 tu yaani (1) natural methods au njia asili na (2) modern method au njia za kisasa
Njia za asili (mafanikio kwa kutumia njia hizi ni madogo, na ni ngumu kufuatisha)
1. Kumwaga mbegu njia
2. Kalenda (rhythm method)- una hesabu siku kujua lini ni siku ya "hatari"
3. Kutazama ute au kuchati joto la mwili
Njia za Kisasa (mafanikio ni makubwa, zinahitaji maelekezo au/kutolewa na mtaalam na pia zinaambatana na maudhi madogo madogo)
1. Hormonal/Homoni mf.sindano(depo provera) Vijiti (Implanons)
2. barrier methods/vizuizi mf: (condoms za kiume/kike, Kitanzi(Loop)