Hope maombi yanafanya kazi sana_wakuu naomba mniombee nishike mihela.Dada wa watu masikini aliletaga taarifa tumuombeage aolewe, mimi nikamuomebaga (hope na wengine), akapataga mume na ukawa mwanzo wa kututupa kabisa ...........kapotea jukwaani
Where are you Miss Judith? au ndo umetokaga kivingine? michango yako kama ningejumlisha na ya Ashadii basi mambo yangekuwa swadakta
Napata hofu ya kuombeaga wengine maana nahisi mkishaolewa mtatupoteaga jukwaani
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana mi nije uniombee? Nataka kuoa!
ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Chauro ID yako naifananisha na mcharuko zinafanana kiaina,usijali lakini!
hahaaaaaaaaaaa angalia wasije fikiria mie ndio yeye.
Kumbe na wewe unahitaji?Mimi pia nahitaji maombi!! Na naahidi kutokuwakimbia!!
Unataka igwe tu ndio akuombee!tena mi nataka wewe ndio uniombee.....sala zako zinanata sana....
sawa_lakn ukumbuke kuja na sadaka pamoja na fungu la kumi plztena mi nataka wewe ndio uniombee.....sala zako zinanata sana....
Ndio maanake_anajua juzi nimetoka kwa Tb Joshua kuchukua upako...kama vip na ww njoo nikuombeee lakn ukumbuke sadaka.Unataka igwe tu ndio akuombee!
tena mi nataka wewe ndio uniombee.....sala zako zinanata sana....