lol!!!!

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,841
Reaction score
1,843
Wakuu neno/kifupisho hiki matumizi yake sahihi ni yapi,kwa wakati gani na katika kumanisha nini? na kwa wakati gani? Nakumbuka kuna kijana UINGEREZA alifungwa miezi SITA kwa matumizi ya neno hili katika twiter pale fabrice muamba alipoanguka kiwanjani kwa matatizo ya moyo. Naomba wataalamu mtujuze.
 

Lol- laugh out laud

Lol- lots of laugh


Lol- lots of love (hii kwa kuongezea tu.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…