Habari kutoka Buasanda zinasema mbunge aliyemaliza mda wake LOLENSIA(CCM) tayari imedhibitika hawezi kushinda kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.....na badala yake wananchi wa Busanda wamejiandaa kumchagua kijana wao FINIAS MAGESA (CHADEMA).
Habari zaidi zinasema alishinda uchaguzi mdogo last yr kwa msaada mkubwa wa kina MAKAMBA lakini this time hana msaada...
hili li dude ccm ndio iliyo dumaza kagera, mza, shinyanga, tabora, singida, mbeya, njombe, iringa, mlogolo, tanga, reli , bandari, viwanda, madini, vyama vya ushrika, mashule, chipitali, hivyo haitakuwa ajabu kama wana busanda wata amua hivyo