Loliondo kwa babu hakuna ajira?

Jamani kwa babu hakuna ajira ?😛anda:
wewe unaposikia huduma za chakula,malazi na maji ni shida kwa maana nyingine hizo ni fursa za ajira. Ukiweza kwenda na kutoa hizo huduma utakuwa umejiajiri:angry:
 
Mgawa dawa baada ya babu kuweka kwenye kikombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…