Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,440 Aug 3, 2011 #1 hey wadau wa michezo Je Tanzania tuna mikakati yeyote kwenye olympic za london 2012. I mean kuna kilichobadilika baada ya olymic za bejing Michezo gani tunatarajia kushiriki? wananamichezo gani viwango vyao vinawaruhusu kushiriki Kuna umuhimu wa kushiriki hata kama kama hatuna washindani ? Tujadiliane
hey wadau wa michezo Je Tanzania tuna mikakati yeyote kwenye olympic za london 2012. I mean kuna kilichobadilika baada ya olymic za bejing Michezo gani tunatarajia kushiriki? wananamichezo gani viwango vyao vinawaruhusu kushiriki Kuna umuhimu wa kushiriki hata kama kama hatuna washindani ? Tujadiliane