London: Dibaba alishwa vumbi, Kipyegon wa Kenya aishindia Kenya nishani ya 2 ya dhahabu kwa mbio za mita1500

London: Dibaba alishwa vumbi, Kipyegon wa Kenya aishindia Kenya nishani ya 2 ya dhahabu kwa mbio za mita1500

Jay456watt

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
10,356
Reaction score
7,992
BREAKING : Kenya's Faith Kipyegon, the Olympic and Commonwealth champion, is new 1500M world champion! The Triple Treat is complete!! pic.twitter.com/MGo3a2g…

Caster Semenya wa Afrika Kusini apata Bronze..World record holder Genzebe Dibaba of Ethiopia finished last. unbelievable! ameshindwa ata na wazungu
_97247729_040981263.jpg

Kenya's Faith Kipyegon won the women's 1500m at the World Championships as Britain's Laura Muir was edged into fourth place at London Stadium.
faith-story_647_083116025821.jpg


The Scot, 24, was overtaken by South Africa's Caster Semenya on the line for bronze, with Jennifer Simpson of the US taking silver.
KipeyegonDibaba.jpg
 
Dibaba bahati mbaya alianguka chini bana.. Acha ukuda eti alimaliza mwisho, alianguka ndio maana alimaliza mwisho
 
Dibaba bahati mbaya alianguka chini bana.. Acha ukuda eti alimaliza mwisho, alianguka ndio maana alimaliza mwisho
huwezi ukadanganya mtu hapa tulitazama mbio hizo na hamna aliyeanguka isipokuwa Caster Semenya wa SA....ila hio sio point hapa, awe alianguka au la...alimaliza wa mwisho...na hiyo imeshtua wengi sababu yeye ndiye world champion...amelishwa vumbi na mkenya...Kipyegon huyo si mchezo...Dibaba alilishwa vumbi kwenye marathon pia kumbuka hilo...kuna wengi wameshaanza kujiuliza maswali wakisema kuwa Dibaba alikuwa anatumia dawa za kusisimua misuli...
 
Back
Top Bottom