Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
twasubiri kwa hamu na ghamusasa hivi tunasubiri kuanzia kesho duru zitasemaje kati ya uhuru na raila
an entire nation is proud of you
huwezi ukadanganya mtu hapa tulitazama mbio hizo na hamna aliyeanguka isipokuwa Caster Semenya wa SA....ila hio sio point hapa, awe alianguka au la...alimaliza wa mwisho...na hiyo imeshtua wengi sababu yeye ndiye world champion...amelishwa vumbi na mkenya...Kipyegon huyo si mchezo...Dibaba alilishwa vumbi kwenye marathon pia kumbuka hilo...kuna wengi wameshaanza kujiuliza maswali wakisema kuwa Dibaba alikuwa anatumia dawa za kusisimua misuli...Dibaba bahati mbaya alianguka chini bana.. Acha ukuda eti alimaliza mwisho, alianguka ndio maana alimaliza mwisho