London Has New Mayor!!... Labour battered in Local election

After a heavy defeat we are waiting to see if Ken Livingstone can muscle Boris Johnson to retain his position…………………………..in two hours time we will know.
 
After a heavy defeat we are waiting to see if Ken Livingstone can muscle Boris Johnson to retain his position…………………………..in two hours time we will know.
Halafu tukishajua ndio tufanye nini???? hii inatuhusu nini sisi....
kwa nini usitafute foramu za waingereza mkachangie hizo hoja???
 
After a heavy defeat we are waiting to see if Ken Livingstone can muscle Boris Johnson to retain his position…………………………..in two hours time we will know.
...Dua kama unafatilia mambo ya huko... BBC(World) wanasema Boris Kashinda.........
 
Halafu tukishajua ndio tufanye nini???? hii inatuhusu nini sisi....
kwa nini usitafute foramu za waingereza mkachangie hizo hoja???
....Kijakazi naona unasahau nguvu aliyonayo mtu kama mayor wa mji huo wa London katika ulimwengu huu wa utandawazi.....

.....ana nguvu kubwa ya kuweza kuinfluence hata mambo mengine yanayotendeka hapa Bongo..... kumjua ana mrengo upi nako kuna faida yake.... huchelewi kukuta meya kama huyo ndiye anatusaidia sisi kukusanya vijisenti vyetu vilivyo wekezwa huko kwao kwenye kisiwa cha Jersey!!!😉

.....meya huyo huyo anaweza kuwa nguzo kubwa ya kuvutia watalii kuja hapa Tanzania kutoka huko kwao, na mkijenga uhusiano naye mzuri anaweza kuwa mhimili mzuri wa ushirikiano katika michezo.

.....jaribu tu kuangalia madaraka aliyonayo Mh. Kandoro halafu ufananishe influence ya Dar na London katika ulimwengu huu
 
It couldn't get worse. Few minutes ago Boris Johnson has been declared the winner for the London Mayor, shattering Labour's last hope to curtail David Cameron's unstopable making to become British Tory Prime Minister in more than a decade.

Kuna sababu nyingi ambazo zimewafanya hawa jamaa wa Conservatives wawanyasa Labour. Moja ni kwamba, baada ya zaidi ya miaka 10 ya utawala wa Labour, kwa mujibu wa pundits wa siasa za Uingereza, wananchi wa Uingereza wamewachoka na wanataka mabadiliko. Kwa hiyo sio lazima kwamba Labour na Brown wameboa sana ama kwamba Tory wanapendwa sana, la hasha, ni kutaka mabadiliko tu.

Sasa swali la kujiuliza tutafanyeje kuwatia hamasa wananchi wetu wapende mabadiliko katika mambo ya utawala. Au niweke kwa namna ingine: tutafanyeje kuwashawishi wananchi wetu kwamba CCM sio dini yao bali ni chama tu cha siasa na kuachana nacho sio dhambi na wala hautakuwa ndio mwisho wa Tanzania?

PS: Mtanzania upo mkuu mpaka hapo maana hii kitu tumebishana sana huko nyuma? Kwa siasa za leo katika dunia hii, ni uonevu mkubwa kumpambanisha Gordon Brown na David Cameron, hili hata Tony Blair amekiri. Sasa labda Labour wamteme Brown, vinginevyo uchaguzi ujao wameliwa!
 
thats how democracy suppose to be,,,na sio hii ya mugabe na Zanzibar
 

Nimesikia redioni wana interview councillor mmoja wa north england wa BNP ameshinda alipoulizwa unafikiri nini kilchukufanya uchaguliwe akajibu ati watu wanataka mabadiliko



Haja ya mabadiliko ni sawa lakini tusije tukawa kama Chiluba wa MMD Zambia walipoangusha UNIP matokeo yake mnajua alifanya nini baada ya kukalia kiti


Usisahau kuwa labour mara ya mwisho labour yaani Tony Blair walishinda na walikuwa waneshindwa kwenye local election sema margin sasa ni kubwa kuliko hapo mbeleni
 
Ngoja tujipange tuwahi sasa. Destination wapi sasa? Wazee wa kuharibu wanashika madaraka sasa.

Hivi weusi wa Barking wazima huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…