Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,425
Habari wakuu...
Leo ni siku virgin london marathon inafanyika.. nimeanzisha uzi huu tupeane updates za kinachoendelea...
hakuna mtanzania anayetuwakilisha???. Wapi alphonce simbu?? Riadha TZ wapi tunakwama??
Tunasubiri kuona matokeo ya vita kali kati ya eliud kipchoge mkenya na mo farah muingereza mwenye asili ya somalia / ethiopia kama sikosei.
DSTV mnafeli saaaannaa. Supersport 5 inayoonesha mashindano hayo eti inaoneshwa kwenye kifurushi cha 110,000... mmenifanya nikaangalizie mbio hizo bar.. mmefeli kwa hilo. Walau mngeiweka kwenye kifurushi cha 69,000.
All in all tupeane updates wakuu.