Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
wakomae na kuchejua makinikia tu! ya kenya na [HASHTAG]#london[/HASHTAG] baby hawayawezi[emoji2]Danganyikans watakuja hapa waseme Waingereza hawajui kuwasha moto
Nahisi unataka kujustify ghorofa lililoanguka lenyewe Nairobi. Kama ulivyojaribu kujustify rail project yenu kwa kujilinganisha na ile ya naija.
Lakini huko London chanzo si ni moto, kwenu ni engineering graduates from your best universities in the region.
OK broPlease brother, that was not my intention at all!
yaani wewe ni mjinga kweli....watu wanakufa hapa na wewe unaanza kuleta Kenya vs Tz thing... idiotNahisi unataka kujustify ghorofa lililoanguka lenyewe Nairobi. Kama ulivyojaribu kujustify rail project yenu kwa kujilinganisha na ile ya naija.
Lakini huko London chanzo si ni moto, kwenu ni engineering graduates from your best universities in the region.
Ni kweli, I hate the Tz vs Kenya schizophrenia... aina mpya ya ukichaa unaowafanya watu kushindana hata kwenye mambo yasiyohitaji kushindana...yaani wewe ni mjinga kweli....watu wanakufa hapa na wewe unaanza kuleta Kenya vs Tz thing... idiot
Bwana mkubwa eti wewe sio mswahili????????alaf nitangulize pole zangu,ziwafikie waingereza wote kwa hili janga, wao na ss ni kitu kimoja cha kujifunza hapa tusiwaige waswahili[emoji2] [emoji109]