Welcome to the club, all I can say you're not alone. There things when you push too much doesn't work especially love, let it be natural, the problem is how soon if you have waited for so long, its FRUSTRATING.
Nevertheless, I am sure someone out there is meant for you and also you should know you're the ONLY person who is responsible for own happiness.
teh teh relax jehovah is in charge here ... Mi huwa nanywea nikifiria hii situation ...lakini najipa moyo mteule wangu anaandaliwa one day yes ...i'm one of them!yaani tunafanana kabisa hata umri nao ni tofauti kidogo sana,mimi nimeamua kuwa mtazamaji,na nimekua mtazamaji kwa miaka 3 sasa,nafikiri nahitaji nifikiri vinginevyo kwani umri nao ni tatizo,ila kazi tunayo kwa wanawake wa dotcom hawa!
Kwa hiyo miaka tafuta mjane au aliyeachika.
34 years old duh
utapata ushauri mzuri tu wa kukusaidia hapa
Jamaa yangu aliwahi kwenda kumtembelea mchumba wake kwenye mji alokuwa akisoma. Kituko alichokikuta akaapa kutopenda tena.
Akaanza tabia ya MY DEAR BOTTLE. Baada ya kupita miaka kadhaa akiwa club moja akiwa amemkumbatia safari lager wake akakuta anamshangaa mhudumu badala ya safari lager yake. Kilichofata baada ya hapo unaweza kuhisi ni nini! Niongeapoa sasa hivi yule mhudumu wa pale club ana masters yake aloipata pale tumaini university.
So pamoja na makosa ya kiufundi mkuu bado mambo hubadilika.
There is someone who is driving towards your direction! Soon mtaanza kutafuta namna ya kupishana kama sio parking area. Its never too late!