loneliness is killing me softly

CUPID was on vacation. I shall direct him towards you. Already I can smell LOVE IN THE AIR. Good luck and be good. Play it cool all the time.
 
MKuu gear unayotumia kwenye tope la JF haifai tumia gear kubwa ya land cruiser siyo ya bajaj utatoka kapa hapa JF nijumba la sanaa usilete usanii!!
teh teh teh teh ..... KakaKiiza mwenzio yupo siriazi wewe unafanya utani!
 
Kaka at 34 bado hujachelewa. Zingatia sana ushauri wa Cantalisia nadhani ni dada ila sina hakika. Usijipedeszhee sana, manake nao mademu siku hizi walishajua ni mtu wa namna gani anafaa kuwa baba wa family. Kusema kweli ukiamua kumpata mke mzuri ni chap chap, cha msingi usikurupuke, na washirikishe watu wenye busara zao.
 
Ukishafikisha zaidi ya umri wa miaka 33 - achana na mambo ya kuoa; utamtesa mwenza wako au mtakuwa mnafanyiana usanii wa kimapenzi na kila mmoja akijua atma ya analolifanya.
 
Mkuu umejichanganya kidogo kusema hujaweza kupata mwanamke uliedumu nae japo tuu mwaka. ukisema hivi wataogopa hata kama kuna ambaye anahitaji mwenza atapata hofu kwan hutadumu kwenye mahusiano.
cha msingi usikwazike na makosa yaliyofanyika huko nyuma, sahau ya nyuma, angalia wapi ulikosea urekebishe ili uweze kuwa na mahusiano ya kuduma. Kwa umri wako hukupaswa kuwa lonely, hutendei hisia zako haki za msingi kama binadamu.do something man.
 


nyie wazee mnanifurahisha sana................. inaonekana hamuwajui vizuri wanawake.................. ningewafundisha ila niko bize kidogo kwa sasa................ huko nyuma nilikuwa natoa shule ya uhakika hapa jamvini juu ya haya mambo..................... mnaweza kuzamia achive.....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…