Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhAisee..sichoki kusikiliza huu wimbo.
* Sauti mzuri kwenye mpangilio murua.
*Ujumbe Safi kabisa
*Mdundo sasa..
Aisee..kongole kwao.
Unaona aibuNzuri sana kimya kimya huwaa naisikiliza
Sijawahi kuusikia nimesoma hapa nikasema niutafte, niliposikiliza tu intro ya beat, nikaruka nikaenda mbele kidogo, nikaona hakuna kilichonivutia. Labda nikiusikia tena na tenaAisee..sichoki kusikiliza huu wimbo.
* Sauti mzuri kwenye mpangilio murua.
*Ujumbe Safi kabisa
*Mdundo sasa..
Aisee..kongole kwao.
Mie mwenyewe nimeenda baada ya kuona huu Uzi. Hamna shughuli paleSijawahi kuusikia nimesoma hapa nikasema niutafte, niliposikiliza tu intro ya beat, nikaruka nikaenda mbele kidogo, nikaona hakuna kilichonivutia. Labda nikiusikia tena na tena
😎😎Kila mtu na ladha yake
ni kweli, Nandy anasauti nyieee, i always love how she sing, pia maneno wamejua kupangiliaAisee..sichoki kusikiliza huu wimbo.
* Sauti mzuri kwenye mpangilio murua.
*Ujumbe Safi kabisa
*Mdundo sasa..
Aisee..kongole kwao.