long live president jakaya kikwete

Status
Not open for further replies.
Mnajuwa sana kusifu watu ujinga, ni kwa sababu ya upuuzi wa kumpa Dictator Mwai Kibaki barabara Tanzania?
 
Wawaachie watanzania wamfanyie ranking
 
Mnajuwa sana kusifu watu ujinga, ni kwa sababu ya upuuzi wa kumpa Dictator Mwai Kibaki barabara Tanzania?

jitahadhari na upumba,hata kama humpendi kikwete bado yeye ni rais.CCM juu juu zaidi
 
Mnajuwa sana kusifu watu ujinga, ni kwa sababu ya upuuzi wa kumpa Dictator Mwai Kibaki barabara Tanzania?

kama si mwai kibaki kukataa kukubali kushindwa kwenye uchaguzi uliopita ambapo wengi wa wakenya waliamini raila odinga ndo alikuwa mshindi, mauaji yaliyotokea nchini mwake yasingetokea. Leo tunampa heshima hapa kwetu, alistaili hiyo heshima kweli? Bora hata tungempa hiyo heshima amina chifupa kwa kupigania kutaka kutokomeza madawa ya kulevya nchini.
 
Ningekuwa mimi ndie kikwete ningekutafuta kwa udi na uvumba (wewe mleta maada hapa I mean) ili nikufiche mahali fulani. Maana najua kuwa hii ni DHIHAKA!
 
rais kikwete ni profesa wa siasa yeye aashaangalia miaka ishirini mbele ya chadema. Chadema urais ni ndoto ya ajabu kwao. Heshima zote kwa bwana rais anaunganisha watu wa afrika mashariki
 
Ingekuiwa mimi nikisifiwa ujinga namna hii nakufunga maana naona kama vile ni kebehi
 
your are one of the greatest president in africa.

Who is the greatest president in Africa?
Your best friend Kikwete is obviously not !!
Suprised ?? Guess what, he is the worst president of Tanzania.
You dont have to dig deep to see all this.
Under his rule, Tanzania has seen the worst religious conflicts ever.
Under his rule, Tanzania has seen the worst political murders ever.
Under his rule, Tanzania has seen the worst economic downturn ever, despite having a lot of potentials.
And the list goes on and on ....
May be you and others like you stand to bebefit from all these evil things done by Kikwete and company.
Otherwise, your best friend (by choice) Kikwete is the worst friend of Tanzanians.
 
u better be paraying and fasting for ur coming GEs..haya mambo ya kusifia ujinga hatutaki,by th way mamab ya Tz yanauhusu wenye Tz yetu...acheni unafiki!
your are one of the greatest president in africa.
 
should I add anything on top of ur comments?....u have said it all

 
rais kikwete ni profesa wa siasa yeye aashaangalia miaka ishirini mbele ya chadema. Chadema urais ni ndoto ya ajabu kwao. Heshima zote kwa bwana rais anaunganisha watu wa afrika mashariki

Hapo kwenye blue,
Kikwete kweli ni 'profesa' wa siasa hizi hapa kwenye picha....
 

Attachments

  • mrembo.jpg
    11.3 KB · Views: 46
Hizo njaa alizeleta nyerere mpaa kuziondoa inataka kazi sana.

Sio kila kitu akikwambia Ustaadh Ilunga unaamini. Hao watoto under 5 na hizo mimba unazoziona hapo ni za sasa na rais wako ana miaka 8 madarakani ameshindwaje kuwasaidia hao na yeye anajiita Bwana/ Bibi MAENDELEO
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…