Long shot goals of all time

Long shot goals of all time

omarhad

Member
Joined
Dec 25, 2019
Posts
93
Reaction score
78
Incredible
 
Sawa
Nakumbuka maashuti ya charl Adams akiwa Liverpool na Blackpool

Stocky City vs Burnley

Hapa bongo ni machache Sana may be la morson
 
Sawa
Nakumbuka maashuti ya charl Adams akiwa Liverpool na Blackpool

Stocky City vs Burnley

Hapa bongo ni machache Sana may be la morson
Kaseja alifunga goli kirumba ilikua Toto na Yanga kutoka goli hadi goli
 
Kuna moja alifunga cristiano ndio naona bora kuliko yote, ya akina rooney au charlie adam yalitokana na walinda mlango kusogea mbele ya lango ( kutoka).
Lakini goli la ronaldo alikandamiza na kipa akiwa vizuri tu
 
Kuna goli moja la Torsten Frings nadhani aliwafunga Costa Rica, kuna lingine la Diego Forlan.
 
Ongeeni magoli yenu yote ila la kaseja pale kirumba ndio goli la umbali mrefu zaidi.
 
Kuna goli moja la Torsten Frings nadhani aliwafunga Costa Rica, kuna lingine la Diego Forlan.
Huyu mwamba sijui alimkoseaga nini kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani, akamwambia hataitwa tena kikosi hicho
 
Kuna goli alifunga hakan calhanoglu akiwa bayern leverkusen aisee lilikuwa ni la moto, freekick ile ilikuwa umbali kiasi watu hawajahangaika kuweka ukuta, mturuki yule alirudi nyuma kisha akakunjuka, kipa akaona zing zong tu.
 
Back
Top Bottom