Sawa
Nakumbuka maashuti ya charl Adams akiwa Liverpool na Blackpool
Stocky City vs Burnley
Hapa bongo ni machache Sana may be la morson
Kaseja alifunga goli kirumba ilikua Toto na Yanga kutoka goli hadi goliSawa
Nakumbuka maashuti ya charl Adams akiwa Liverpool na Blackpool
Stocky City vs Burnley
Hapa bongo ni machache Sana may be la morson
Mbuyu TwiteSawa
Nakumbuka maashuti ya charl Adams akiwa Liverpool na Blackpool
Stocky City vs Burnley
Hapa bongo ni machache Sana may be la morson
Kuna goli moja la Torsten Frings nadhani aliwafunga Costa Rica, kuna lingine la Diego Forlan.Kuna moja alifunga cristiano ndio naona bora kuliko yote, ya akina rooney au charlie adam yalitokana na walinda mlango kusogea mbele ya lango ( kutoka).
Lakini goli la ronaldo alikandamiza na kipa akiwa vizuri tu
Frings nalikumbuka ilikuwa 2006 kama sikoseiKuna goli moja la Torsten Frings nadhani aliwafunga Costa Rica, kuna lingine la Diego Forlan.
Linalofuata la marehemu Juma Mkambi 1981Ongeeni magoli yenu yote ila la kaseja pale kirumba ndio goli la umbali mrefu zaidi.
Huyu mwamba sijui alimkoseaga nini kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani, akamwambia hataitwa tena kikosi hichoKuna goli moja la Torsten Frings nadhani aliwafunga Costa Rica, kuna lingine la Diego Forlan.
Yes nadhani ni sawa, huyu mwamba ulifumua shuti matata sana.Frings nalikumbuka ilikuwa 2006 kama sikosei