Long-term partner - woman is needed

Tafadhali dada zangu huu Uzi umeandikwa bar, mtu amepiga vyombo hapa.

Hii ngeli inapotea vitu kichwani vikitoka, msiamini kitu hapa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
ladha nzuri ila nili overcook,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Maji yakizid tatizo Sasa mm pia nilipika vikaanza kuchanika chanika nikaona oohoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo maana Nimecheka sana ilo tatizo la wote dear
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Maji yakizid tatizo Sasa mm pia nilipika vikaanza kuchanika chanika nikaona oohoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo maana Nimecheka sana ilo tatizo la wote dear
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
eti vikaanza kuchanika chanika, nimecheka..!
Nimeambiwa natakiwa ikae jikoni dakika 7 tu wakati wa kuchemsha pale mwanzo, halafu wakati wa kumix na nyama ya kusaga ama sausage haipaswi kukoroga, unarusha rusha kama vile kwenye ndizi (kama hutaki zikatike-katike)

Ila nilifurahi maana wamekipenda 'taste' ilikuwa nzuri, na kiliisha pyuu, wakati Mimi nilikuwa naogopa balaa..!
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„Ila kupika jamni sometime ni majanga
Mm sikupata hamu ya kupika Tena mbele za watu Huwa napikaga nikiwa mwenyew japo walivipenda pia ila hapana


Sasa nilipata msala wa kutaka kupika rice puncake unga ukagoma kuumuka tangu saa 12 had saa 4 usiku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka kwa sauti mbele za watu, ni nini lakini we dada..!!πŸ™Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka kwa sauti mbele za watu, ni nini lakini we dada..!!πŸ™Œ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Cheka tu mwaya
Kuna jirani alikuwa anakuja kwangu kuangalia nachopika namfundisha fundisha mumew Huwa kazi zake za night tulikaa nje saa 4 kusubiri wapi nikamtuma unga na bamia tupike ugali tukala saa 5 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
mbona unga na bamia..??

ulijaribu tena baada ya hapo..??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
mbona unga na bamia..??

ulijaribu tena baada ya hapo..??
nilimwaga ule unga nikaloweka mchele mwingine yaan usiku nililala naweweseka
roho iliuma nikawaza Nazi yangu DahπŸ˜‚ asubuh saa 12 nikaamka navyo nikaweza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Here.... I am kindly inbox, I’m having trouble texting you privately
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…