Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakazi wa Longido wamepatiwa elimu ya mpiga kura ili kuepuka makosa wakati wa uchaguzi. Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Longido, ASP Tausi Mbalamwezi, amesema elimu hiyo inalenga kuwapa wananchi uelewa wa mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa uchaguzi.
Pia ameongeza kuwa baada ya elimu hiyo hatotarajia mwananchi kuvunja sheria kutokana na elimu hiyo.
Kupata mijadala ya kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024