Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
na usisahau mkuu hayo yooote yanafanyika, wengine wanapigwa risasi, na migomo kibao, gesi,umeme, vyakula juuuu. Pumbavu senu saaaana nyie!hivi hizi dhifa za kibalozi zinagharamiwa na nani?kwa hiyo sasahivi safari za nje no,ni mialiko tu pale ikulu.juzi alianza baba(jk) akafuata uncle(membe) jana mama,kesho shangazi halafu itafuatiwa na watoto(liz 1 na mirage)