mtaratibuuuuuu
Member
- Aug 17, 2009
- 60
- 4
Imetokea huku kijijini kwetu Pugu-Majohe.
Mkaka kakatwa vidole vyote vya mkono kwa kula mke ya mtu, mume kakuta sms imeandikwa 'bebi tukutane Kisarawe' na kila siku alikuwa anashuku mawasiliano ya mkewe na mtu aliyemsev 'Mariam', kuja kujaribu namba kumbe siyo Mariamu tena ni Maulid.
Mume kamkata mapanga mwizi wake jamani, ndo kakimbizwa hospital muda si mrefu. Acheni kula wake za watu mtakufa na siku hazijafika.
We huui?kakuta sms tu je angeona mke wake jinsi anavyo shuhurikiwa si angeua.
Kakosea vidole havina makosa, angemkata *************** ili iwe Mwisho!kwahiyo kumkata vidole ndiyo ametibu tatizo? Huyo jamaa naye mpumbavu, kama yeye mjanja akate sehemu za siri za mke wake. Leo kamkata jamaa vidole, kesho mkeo yupo na mwingine na jina kwenye simu ni Anna. Jamaa aliyekatwa vidole ana haki ya kufungua mashtaka dhidi ya huyo mpumbavu, kutokana na jamaa kujichukulia sheria mkononi, isitoshe the victim ana uwezo wa kusema hakujua kama alikuwa mke wa mtu. Hakuna alama inayoonyesha usoni kwamba huyu ni mke wa mtu na huyu siye.
Mke wa mtu ila mtamu
Ni majiran kwahiyo anajua kwamba ni mke wa jamaa,na jamaa ni mkurya analalamika ndo katoka kulipa ng'ombe 6 na mbuz 15 hata miez mi6 haijaisha,alimtoroshaga sasa alikuwa anavuta kimoja,ila pia yasemekama waiz walianza kula 2nda muda mrefu mwenyewe akawa anatoa onyo ila wakapuuzia,halaf men ni marafiki wa karibu saana,wamewafanya na wake zao wamekuwa marafiki.
Endelea na tabia yako hiyo siku ukikamatwa.....
nikiwa 4m4 mwalimu wetu wa agriculture alikamatwa na mke wa mtu naye akapakwa mafuta na kuliwa kinoma yani .......habari zikasambaa kitaa chote hadi skul mwalimu akawa kila akifundisha akigeuka watu minong'ono inazidi basi yy husema najua mnachofikiri ila haikua ivo ............badae alihama skul