Kwahiyo wewe unavyompenda mama,dada na kaka zako kunakufanya kicheche? Maana kupenda sio lazima ngono ihusike.
Hahahahha. . . Konnie ukute umefananishwa na mdeni wa mtu au jambazi mbona utakoma. We ilikuaje. . . ?Ndio Lizzy, kuna wakati mtu anakukumbusha mtu fulani, hata kama ulikuwa hujamzoea, unaanza kum-accept kidogo kidogo.
Ila kufanananishwa napo kuna taabu yake, nilishajikuta nataka kuingia matatani.
Kwahiyo wewe unavyompenda mama,dada na kaka zako kunakufanya kicheche? Maana kupenda sio lazima ngono ihusike.
BT inawezekana kuna kitu anakukumbusha kama yeye binafsi hamna baya alilokutendea.hapana, nimewahi kukutana na mtu ambaye automatik nafsi yangu imemchukia, sikuwa na sababu ya kumchukia........mbaya zaidi kuna siku aliniambie ujinga fulani nikazidi kumchukia......
Siku hizi najitahidi nikimuona nimsalimie, nimpungi, nimchekee ili chuki ipungue.....
BT inawezekana kuna kitu anakukumbusha kama yeye binafsi hamna baya alilokutendea.
hapana, nimewahi kukutana na mtu ambaye automatik nafsi yangu imemchukia, sikuwa na sababu ya kumchukia........mbaya zaidi kuna siku aliniambie ujinga fulani nikazidi kumchukia......
Siku hizi najitahidi nikimuona nimsalimie, nimpungi, nimchekee ili chuki ipungue.....
BT inawezekana kuna kitu anakukumbusha kama yeye binafsi hamna baya alilokutendea.hapana, nimewahi kukutana na mtu ambaye automatik nafsi yangu imemchukia, sikuwa na sababu ya kumchukia........mbaya zaidi kuna siku aliniambie ujinga fulani nikazidi jkumchukia......
Siku hizi najitahidi nikimuona nimsalimie, nimpungi, nimchekee ili chuki ipungue.....
Wewe umeona hapa upendo uliokua unaongelewa unahisha ngono tu?