Wapo watu ambao hua tunawafananisha kwa muonekano, namna ya kuongea, kifikra au walivyo tu kiujumla na watu wetu wa karibu au tunaowafahamu tu.
Hii inaweza ikasababisha mtu akawa na hisia mbaya au nzuri sana na mtu asiemfahamu kwasababu tu anamkumbusha mtu ambae hayuko nae vizuri/yuko/alikua nae vizuri sana kimahusiano, awe rafiki, ndugu au hata mpenzi.
Swali langu ni je, umewahi kujikuta unampenda mtu kwakua anakukumbusha mtu fulani ambae inawezekana yuko mbali sana na ulipo wewe au hata alishaaga dunia hii?
Kuna dada hadi leo nampenda... anafanana mno na marehemu mamangu mdogo alikufa really young. Hata hatujazoeana nae na wala siwezi thubutu kumwambia afanana na marehem, but I like her.
hheheh..uminikumbusha wewe!!!
binti wa kinyaturu...tumekutana mkoani...kanambia wafanana na pacha wangu yuko TPDF..yani copyright! mwili wako wa mazoezi, tabasamu, rangi ya mwili...duh...kaanza mwenyewe kuniita kaka...yalipokuja kubadilika....sijui...maana kama naitwa mpenzi siku hizi...huku kufananishana huku???
asavali mi namfananishaga mshkaji wangu na zitto...ni mbishi huyoooo!!!!
inawezekana Lizzy, na kama kipo hicho kitu sijakijua bado, ila namchukia huyo mtu jamani hadi najishangaa.... Na sina mazoea nae, wala hatupo karibu kihivyo.....mbaya zaidi kila siku asubuhi nitakutana nae kama sio parking basi koridoni......
Ni mbaya sana kwa kweli, mpaka najisikia vibaya kumchukia mtu bila sababu.....
Sijui kama amenotice au vipi..........
Hahahahaha we Mentor nawe. . .hheheh..uminikumbusha wewe!!!
binti wa kinyaturu...tumekutana mkoani...kanambia wafanana na pacha wangu yuko TPDF..yani copyright! mwili wako wa mazoezi, tabasamu, rangi ya mwili...duh...kaanza mwenyewe kuniita kaka...yalipokuja kubadilika....sijui...maana kama naitwa mpenzi siku hizi...huku kufananishana huku???
asavali mi namfananishaga mshkaji wangu na zitto...ni mbishi huyoooo!!!!
Hahahahha. . . Konnie ukute umefananishwa na mdeni wa mtu au jambazi mbona utakoma. We ilikuaje. . . ?
hasa ukutane na dada au kaka anafanana na umpendaye yaani unahisi uko anaother world aisee....
Yeap!!
Even humu jamvini kuna mtu nampenda, tokana na kwamba ananikumbusha mtu flani ambae nahisi kumfananisha nae!!
Hhhmmm. . .nani huyo kakondoo? Tuambie tufurahie bana.
mmmhhh........uko juu!!!
Yaani, umagusa pale pale!
Embu funguka bana Konnie. . . au ushasahau mimi niko kifamilia zaidi? Lolz
kama neck tie ya barmaid pale corner bar..
Hahahahaha we Mentor nawe. . .
Yani ukakubali kaka awe mupenzi?