Kama kuna udanganyifu na upotoshaji kwenye kura za maoni maana yake uchaguzi siyo free and fair. Ni kama hapa anavyofanyaga Mukandara na taasisi yake...to rig " online polls " sio sawa na ku-rig uchaguzi.
..online polls wanamaanisha zile kura za maoni / au pimajoto zinazofanywa na vyombo vya habari.
Ngumu kumesaOnline poll zinazohusiana na mapenzi au uchaguzi?
Online poll zinazohusiana na mapenzi au uchaguzi?
Kama kuna udanganyifu na upotoshaji kwenye kura za maoni maana yake uchaguzi siyo free and fair. Ni kama hapa anavyofanyaga Mukandara na taasisi yake.
Mkuu nimekuliza online poll hizi tunazo ongelea zinahusiana na nini? Mapenzi au uchaguzi?..online polls wanazozungumzia ni kura za maoni, au pimajoto, zinazofanywa na vyombo vya habari, kabla ya uchaguzi.
..uchaguzi Mkuu wa Marekani kila jimbo linasimamia kivyake. Sio rahisi kuiba, na sio rahisi kulazimisha matokeo yake. Mazingira hayo ndiyo yaliyomzuia Trump kuwashawishi maofisa wa uchaguzi jimbo la Georgia wamsaidie kupata ushindi.
Kwa hiyo mkuu kampeni za uongo hazitoshi kuufanya uchaguzi usiwe free and fair?..kilichotokea ni sawa na kufanya kampeni kwa hoja za uongo, au kupotosha wakati wa kampeni.
..pia huwezi kusema kwamba hizo opinion polls zimenajisi zoezi zima la uchaguzi kwa maana ya kuandikisha, kupigakura, kuhesabu kura, na kutangaza matokeo.
Mkuu nimekuliza online poll hizi tunazo ongelea zinahusiana na nini? Mapenzi au uchaguzi?
Kwa hiyo mkuu kampeni za uongo hazitoshi kuufanya uchaguzi usiwe free and fair?
ulishajiuliza kwa nini zinafanyika hizo polls?..wewe ndio unapaswa kutusaidia kueleza kura za pimajoto zinaathiri vipi zoezi la uchaguzi Mkuu wa Marekani.
..Zoezi zima la Uchaguzi Mkuu wa Marekani liko distributed. Kule Rais hateui Tume ya Uchaguzi. Kila jimbo linasimamia zoezi lake la Uchaguzi na kutangaza mshindi ktk jimbo husika.
..online poll sio uchaguzi wenyewe.
..Ni sawa na kura za maoni kwenye magazeti kama mwananchi, nipashe, etc.
..huwezi kusema uchaguzi wa Tz haukuwa huru kwasababu ya kura ya maoni iliyofanywa na gazeti la nipashe, au kituo cha TV cha Azam.
ulishajiuliza kwa nini zinafanyika hizo polls?
Unakubaliana na mimi kuwa huwa hazifanyiki nje ya mzunguko wa uchaguzi?..kutabiri muelekeo wa uchaguzi.
..Na kuna chaguzi opinion polls zimekuwa on the mark, na wakati mwingine off the mark.
..again, hizo ni pimajoto tu, sio uchaguzi wenyewe.
Unakubaliana na mimi kuwa huwa hazifanyiki nje ya mzunguko wa uchaguzi?
Ni biashara za watu.ulishajiuliza kwa nini zinafanyika hizo polls?
hizi za kwenye kesi ya Trump ziko kwenye muktadha upi?..opinion poll inaweza kuwa kuhusu jambo lolote la kijamii, kisiasa, kiuchumi, etc.
..sio lazima ifanyike wakati wa mzunguko wa uchaguzi tu.
..pia uendeshaji wa opinion polls hauwezi kutumiwa kama kigezo cha uchaguzi kuwa huru na wa haki au la.
..kwa maneno rahisi, wanaondesha opinion polls, sio wanaosimamia uchaguzi.