Looking 4 love

Looking 4 love

sashafierce

Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
10
Reaction score
0
m 21 aged gal 4m dsm tz looking 4 a boyfrn age 4m 23-26 educated nice job,charming,honest,caring,goodlooking,understanding,just pm me if u gt thoz characterz. . .
 
wanakuja.........sashafierce
hapo kwenye red mh!
 
maliza kwanza shule mdogo wangu, mapenzi baadae yapo tu wala hayaishi

Kwa umri huo mikikimikiki ya mapenzi hutaiweza
 
m 21 aged gal 4m dsm tz looking 4 a boyfrn age 4m 23-26 educated nice job,charming,honest,caring,goodlooking,understanding,just pm me if u gt thoz characterz. . .

hapo kwenye blue ndio patakuangusha,maake wengi tumesoma elimu za akina kayumba hivyo mpaka upate elimu nzuri na kazi nzuri ni miaka 30 - 34 ,anyway ngoja tusubiri maake naambiwa kuna watoto wa walia kivulini humu ndani janvini i.e watt wa ra,lowassa,makamba,mkwere na wengine wanaotoka kwenye hizo jumuia
 
m 21 aged gal 4m dsm tz looking 4 a boyfrn age 4m 23-26 educated nice job,charming,honest,caring,goodlooking,understanding,just pm me if u gt thoz characterz. . .

four = for = from = 4 ?

Inahitaji kuwa na akili kama ya mwendawazimu kuelewa alichoandika fierce!
 
mnh nimeshindwa vigezo......................hasa cha kazi nzuri coz m ni mpiga debe
 
Mkuu,..nafikiri ww ulidhulumiwa ile 10% yako kwenye ile mikataba ya dowans,richmond,iptl ,....lo...pole sana lakn ndio maisha ya mjini kiongozi
 
Mapenzi na shule haviendani ,anyways kama hausomi just wait kwani mume au mchumba mwema anatoka kwa MUNGU and tyme wil tell ,just chill out girl.
 
maliza kwanza shule mdogo wangu, mapenzi baadae yapo tu wala hayaishi

Kwa umri huo mikikimikiki ya mapenzi hutaiweza

Mkuu mwenzako 'ashafika kigoma' kielimu ila yawezekana ndio walewale wa st.kata.... :A S 13:
 
Haya nipm sharobaro husninyo hapa. Fanya fasta fasta kabla sijahairisha.
 
m 21 aged gal 4m dsm tz looking 4 a boyfrn age 4m 23-26 educated nice job,charming,honest,caring,goodlooking,understanding,just pm me if u gt thoz characterz. . .

aliyeoa vipi?
 
Vioja!
Anavoanza tu, m 21...
hivi jamani hivo vyekundu we mwenyewe unavyo.
Usinikumbushe wimbo wa Kingwendu ngwendulile....... haja......huyu de...... pe! lol!
 
m 21 aged gal 4m dsm tz looking 4 a boyfrn age 4m 23-26 educated nice job,charming,honest,caring,goodlooking,understanding,just pm me if u gt thoz characterz. . .

Inabidi Mods waangalie uwezekano wa kuanzisha Sub forum kwa ajili ya wanaotafuta wachumba na wapenzi...

Back to topic: Nadhani vigezo vingi kati ya ulivyotaja ninavyo. Nimeshaku-PM, nasubiri jibu.. Siriaz!!
 
m 21 aged gal 4m dsm tz looking 4 a boyfrn age 4m 23-26 educated nice job,charming,honest,caring,goodlooking,understanding,just pm me if u gt thoz characterz. . .

labda upate kijana wa kipemba mwenye nice job ,kwani umri ulitaja wa kijana unaemtaka ni vigumu kupata,umri wakayumba ndio mtu anakuwa na nice job,loool facebook utampata..
 
:decision:unataka kijana mwenye sifa hizo sio rahisi kumpata sababu bado mdogo haya mambo yapo utayakuta tuu
Ushauri wangu:nenda shule baadae utapata kijana mwenye sifa hizo na atakuheshimu inaelekea wewe ni kicheche unatafuta pa kuegemea
watakuchakachua mpaka ufikie miaka 30 kushnei:hand:
 
Back
Top Bottom