Looking for a beautiful girl aged 25-30 for a long relationship

Looking for a beautiful girl aged 25-30 for a long relationship

Bwa

New Member
Joined
May 14, 2017
Posts
2
Reaction score
0
Wanabodi salaam.Jaman natafuta msichana mrembo ,mwenye mvuto ili awe mke wangu.Mimi ni mrefu ,maji ya kunde na nafanya kazi serikalini.Kwa sasa nina umri wa miaka 35.Kwa ninayemtaka awe mrefu ,rangi yeyote na ,elimu yeyote.Awe na chura wa kutosha.Karibu pm.
 
Kila la kheri ila ukumbuke upishi muhimu,wee chagua tu haiba ya nje,utalala njaa
18381858_1306909912755494_5148258185387180032_n.jpg
 
Back
Top Bottom