- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
Hata ninyi mlio ughaibuni mwaweza kunisaidia kama zapatikana huko. Huku vitu vi-ghali sana. Tunajitutumua lakini aghali sana.Shy na imani anaweza kusaidia katika hili.... ni freelance mzuri anayejua bei za computers !!!
Shy can you please help our friend Maxence?!
hao walio ughaibuni?.....Hata ninyi mlio ughaibuni mwaweza kunisaidia kama zapatikana huko. Huku vitu vi-ghali sana. Tunajitutumua lakini aghali sana.
Laptop inafaa lakini kuna kazi nyingi natakiwa kuzifanyia kwenye Desktop hivyo niko katika uhitaji mkubwa
Haina OS, sina XP wala Vista CD. Wananiambia wanaogopa kukamatwa wakigundulika wameniuzia wao. Sasa nitafanyaje?Hiyo bei fair...
Walio Ughaibuni; wewe huko Tosamaganga hapana!hao walio ughaibuni?.....
Haina OS, sina XP wala Vista CD. Wananiambia wanaogopa kukamatwa wakigundulika wameniuzia wao. Sasa nitafanyaje?
Haina OS, sina XP wala Vista CD. Wananiambia wanaogopa kukamatwa wakigundulika wameniuzia wao. Sasa nitafanyaje?
Mama, asante kwa ushauri. Sina urgency kiwango hicho cha kutosubiri pc toka nje isipokuwa naogopa kununua pc bomu kwa bei kubwa. Thanks for your input Mama; nitawasiliana na DOSTECH.Just be careful, maana pia siku hizi nasikia kuna CLONES. usijebambikizwa bei pamoja na computer! kama unajamaa anaweza kukuagizia toka nje itakuwa nzuri zaidi, lkn kwa urgency uliyo nayo jaribu kuulizia DOSTECH
Ya kwako kiboko. Nahitaji kila ulichoandika. Naweza kupata Linux OS? Ndiyo niipendayo zaidiWewe ukipata hiyo computer usiwe na wasi na OS, install copy yoyote ya XP miye nitakutafutia GENUINE KEY ya hiyo XP kutoka Microsoft na itakuwa registered kwako.
Kwa sababu unahitaji desktop, pia naweza kukupatia copy ya Ubuntu na Linux (latest core) kwani inafaa uwenazo kwenye hiyo desktop ili zikusaidie katika utundu wako mwingi wa kutafutia watu matangazo ya kazi!! Kama unakuja huku kanda ya ziwa hivi karibuni, itakuwa poa zaidi, otherwise n'takutumia copy kwa EMS.
SteveD.
Asante. Nimedondokea huku http://www.ubuntu.com/getubuntu/downloadMax, whilst on Linux; if you get time pls see the following link on the latest Ubuntu release:
http://blog.wired.com/monkeybites/2008/04/ubuntu-804-fina.html
we maxence upo wapi?mbona wanataka kukubambikia kiasi hicho,halafu hiyo laptop wanataka kufanyia shughuli gani maana naona HDD 160GB,WEKA MAHITAJI YAKO ,THEN NTAKUPAPA BEI YAKE,IKIWEZEKANA TUTAWASILIANA
Hiyo bei fair...
Haina OS, sina XP wala Vista CD. Wananiambia wanaogopa kukamatwa wakigundulika wameniuzia wao. Sasa nitafanyaje?
Wewe ukipata hiyo computer usiwe na wasi na OS, install copy yoyote ya XP miye nitakutafutia GENUINE KEY ya hiyo XP kutoka Microsoft na itakuwa registered kwako.
Kwa sababu unahitaji desktop, pia naweza kukupatia copy ya Ubuntu na Linux nyingine (latest distro) kwani inafaa uwenazo kwenye hiyo desktop ili zikusaidie katika utundu wako mwingi wa kutafutia watu matangazo ya kazi!! Kama unakuja huku kanda ya ziwa hivi karibuni, itakuwa poa zaidi, otherwise n'takutumia copy kwa EMS.
SteveD.