Looking for a friend and soulmate!

Looking for a friend and soulmate!

Dada wa miaka 25 muajiriwa wa taasisi binafsi na kipato cha kawaida.Natafuta rafiki wa kiume ambaye anaweza kua mume hapo baadae Mungu akibariki na pia tukienda sawa.
Sifa;awe Mkristo Mcha Mungu,Miaka kuanzia 27-33,awe na kazi au biashara halali ya kumuingizia kipato,elimu kuanzia degree,Kabila sibagui.Physically awe na afya njema na mwili wa wastani pia asiwe mweusi sana......Mengine tutajadiliana na kuelezana pindi tutakapo fahamiana zaidi.
Aliyeserious ani PM

Ningekupm ila mimi bado sipo serious! Mungu akutangulie ktk hili dada angu, umpate mwenye moyo wa dhati.
 
mi nna vigezo vyote kasoro umri.uko juu sana ebu shusha age range kidogo...vipi niku PM?
 
Back
Top Bottom