Dada wa miaka 25 muajiriwa wa taasisi binafsi na kipato cha kawaida.Natafuta rafiki wa kiume ambaye anaweza kua mume hapo baadae Mungu akibariki na pia tukienda sawa.
Sifa;awe Mkristo Mcha Mungu,Miaka kuanzia 27-33,awe na kazi au biashara halali ya kumuingizia kipato,elimu kuanzia degree,Kabila sibagui.Physically awe na afya njema na mwili wa wastani pia asiwe mweusi sana......Mengine tutajadiliana na kuelezana pindi tutakapo fahamiana zaidi.
Aliyeserious ani PM