anza ww kuniPM, am 23, nimemaliza kozi ya usekretary pale Zoom, ndo natafuta kazi.
Mhhhhhhh kuna Mnyalu mmoja wa Iringa kalizwa buku50 hivi hivi....
Hongera kijana angalia na wewe usije ukaambiwa utume elfu 50 ya nauli.
hata me natafuta boyfriend sifa hizo hizo bt weupe nataka awe anatumia carolight, lol
anza ww kuniPM, am 23, nimemaliza kozi ya usekretary pale Zoom, ndo natafuta kazi.
mnyalu kaingizwa town na mabinti wa townHahahahaha nimecheka sana
King Kong III kuna sehemu nilikuta jamaa ana lalamika amemtumia demu nauli aje alipo! hadi sasa hapokei simu
nisaidie kutafuta best watu8 plz,
Hahaha. Aisee, how are you lil gal! Kesho unakuja chuo? Nimekumiss!
Niko tayari niku Pm
he he he, wee kizee unanipeperushia ndege wangu
ujue nimetumia gharama sana hadi yeye kuniPM?
Yaani najiskia m'bibi aisee. Kwanza nataka nitoke fesibuku, manake mtu anaanza kukutongoza aansema mi mkubwa nimezaliwa 1996. Im like wtf? Gimme ur papaa's #!
Usijali...ila kwa nini unataka mtumia mkorogo??