KABIDO Member Joined Oct 26, 2015 Posts 74 Reaction score 117 Apr 3, 2017 #1 Habar wana JF Natafuta girl alie na shida kama yang i mean natafuta mchumba miaka at least awe na 18=>23.... Mimi nina umri wa miaka 22 nina kaz inayoniingizia kipato alie tayar ani PM ni hayo 2.
Habar wana JF Natafuta girl alie na shida kama yang i mean natafuta mchumba miaka at least awe na 18=>23.... Mimi nina umri wa miaka 22 nina kaz inayoniingizia kipato alie tayar ani PM ni hayo 2.
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 35,012 Reaction score 70,201 Apr 3, 2017 #2 Kuoa mapema raha sana, nakutakia mafanikio ila usimkalishe binti wa watu na chuma kidoleni mpaka akasahau kama ana mchumba.
Kuoa mapema raha sana, nakutakia mafanikio ila usimkalishe binti wa watu na chuma kidoleni mpaka akasahau kama ana mchumba.