dah! Jamani!. Dah..
Namtaka huyo kaka kwenye avatar Mbu!..kidding!!
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,
Sifa za shosti ni hizi
degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.
Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa
Nimeipenda hiyo
Gerald...tuma maombi maana nawe ulikuwa unatafuta...au umeshapata??!!!
Da! ila bado sijamwelewa kama ni yeye au la mambo vipi mrembo
Ameleta ujumbe kwa ajili ya rafiki yake...lakini uki-PM utapata mawasiliano na mhusika!
Mi mzima Gerald...hofu kwaku tu wewe!
Mimi Mzima sasa sifa zote nimezipenda ila napenda mtu mweupe so, itakuaje ushauri plse
Mimi Mzima sasa sifa zote nimezipenda ila napenda mtu mweupe so, itakuaje ushauri plse
Sasa hapo kazi...kwangu mimi rangi si tatizo! Cha muhimu ni tabia, anaweza kuwa mweupe but baadaye akawa hana tabia njema! Na vizuri kufahamiana zaidi...! Kila la heri! Michelle yupo mtaa wa pili...ungepita huko ungemwona!
thx! tabia ni muhumu ila unajua tabia inabadilika? inategemea umempata mtu gani na ukumbuke akuna mtu safi hapa duniani cha msingi ni kuridhika then next ni marekebisho madogo tuu
Ukimwomba Mungu na kumtegemea...ninaamini unaweza ukampata mwenye tabia zinazoendana...ila muhimu kufahamiana kabla....!!! kila la heri!
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.
Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,
Sifa za shosti ni hizi
degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.
Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa
Sawa nipo nae hapa na msg delevered. Labda hizo mambo yake ya kuwa choosey inamchelewesha kupata mwenzi hajui tu so asante kwa kumjulisha
Mimi Mzima sasa sifa zote nimezipenda ila napenda mtu mweupe so, itakuaje ushauri plse
Mmmmmh,hivi hawa watu wa kutafuta wenzi mitandaoni kweli ndoa zinadumu?
Mnakuwa mmefahamiana lini?
Kazi kweli kweli,naomba abahatishe tu ila naye kama hajapata hadi saivi basi ana tatazo na hafai kuwa mke[/QUOTE]
Mbona unahukumu my dear! hapo kwenye red.
Truly habari ya asubuhi, hivi wewe una mchumba tayari???